Bishop Josephat Njige

BWANA YESU ASIFIWE!
Chaneli hii ya BISHOP JOSEPHAT NJIGE imefunguliwa kwa dhumuni la kukuletea maudhui ya Neno la Mungu, Taarifa/Mafundisho ya Ujasiliamali na Mambo mbalimbali ya Kijamii kutoka katika kanisa la THE ROCK CHRISTIAN FELLOWSHIP OF TANZANIA- RCF (T), mtaa wa MLOLE (VETA), Kigoma Mjini.
KARIBUNI SANA.