KKKT ARUSHA ROAD TV

KKKT Arusha Road Tv ni chaneli iliyo chini ya uongozi wa KKKT USHARIKA WA ARUSHA ROAD uliopo Mtaa wa Area 'C' Dodoma Tanzania.

Lengo la Chaneli hii ni kwa ajili ya kufikisha ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya mtandao kupitia Ibada, Mafundisho pamoja na Uimbaji sawa na agizo la Bwana wetu Yesu Kristo Mk 16:15
''Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe. Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa..''

............................................................................
RATIBA ZA IBADA ZETU:

[JUMATATU - IJUMAA]
1. Morning Glory. 06:00 AM - 07:00 AM
2. Evening Glory 06:00 PM - 07:00 PM

[JUMAPILI]
1. Ibada ya Kwanza 06:00 AM - 07:30 AM
2. Ibada ya Pili 07:30 AM - 09:30 AM
3 Ibada ya Tatu. 10:00 AM - 12:00 PM