MAOMBI KWANZA

Karibu kwenye chaneli yetu ya MAOMBI KWANZA Mahali pa Amani, Imani na Ushirika na Mungu.
Tunakuleta karibu na Mungu kupitia Maombi ya kila aina.

Tunaamini katika nguvu ya Maombi inayogusa maisha, kubadilisha mioyo na kufungua milango ya baraka.

1 Timotheo 2:1
"Basi, kabla ya mambo yote, nataka dua, na sala, na maombezi, na shukrani, zifanyike kwa ajili ya watu wote"

Whatsapp +255769896700