Mwalimu Kinyogoli

Naitwa Mwalimu Ustadhi Said Juma Kinyogoli pamoja na mengi yanayonishughulisha katika ulimwengu huu nashukuru sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa mshiriki wa kuutangaza uislamu katika taasisi tofauti kutokea nchini Tanzania ALHAMDULILLAH

Nashukuru pia mola wangu mlezi amenipa hidaya ya kuanzisha taasisi ya nasaha za dini na dua inayotambulika kwa jina la MARKAZ SAFYNA ISLAMIC kwa mukhtasar huu nakualika kuLIKE kuSHARE kuCOMMENT pia kuSUBSCRIBE channel hii ili tuendelee kujifunza katika yale ninayoyashiriki kwenye ulingo wa DAAWAH matangazo ya uislamu.
Shukran karibu