SUMAJKT TV
SUMAJKT ni kifupi cha neno SHIRIKA LA UZALISHAJI MALI LA JESHI LA KUJENGA TAIFA. Ni Shirika la kiuchumi la Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) lililoanzishwa mwaka 1981 chini ya Sheria ya Uanzishaji Mashirika Namba 23 ya mwaka 1974 Sura ya 119 (RE 2002)
SUMAJKT ilianzishwa kwa sababu kuu mbili: -
(i) Kujiendesha kibiashara ili kupunguza gharama za uendeshaji wa shughuli za Jeshi la kujenga Taifa
(ii) Kuchangia katika uchumi wa Taifa.
Shughuli za uzalishaji katika shirika la SUMAJKT zimeainishwa katika sekta tano:-
1. Ujenzi, Uhandisi na Ushauri
2. Kilimo, Mifugo na Uvuvi
3. Viwanda
4. Biashara na Huduma
5. Elimu
Makao yake Makuu ni Mlalakuwa barabara ya Mwai Kibaki Dar es Salaam.
Kwa mawasiliano zaidi tunapatikana kupitia:
Tovuti: www. sumajkt.go.tz
Email:[email protected]
Facebook Profile:Sumajkt Tanzania
Facebook Group:Sumajkt Tanzania
Facebook Page: Sumajkt Tanzania
Twitter:Sumajkt Tanzania
Instagram:Sumajkt_hq_Tanzania
Youtube: Sumajkt Tv
Blog:Sumajkttanzania.blogspot.com
JAJI MKUU AWAAPISHA MAWAKILI WAPYA/RAIS MWABUKUSI ANYOOSHA MAELEZO.
WASTAAFU JESHINI MAMBO YAWANYOOKEA.
SUMAJKT YAPATA ELIMU KUHUSU MASUALA YA KODI
TUMEONA TOFAUTI KUBWA KATI YA SUMAJKT GUARD NA KAMPUNI ZINGINE- DODOMA JIJI
HII NDIYO FAHARI YA BUSTANI YA WANYAMA PORI RUVUJKT
"MKAWE NA TABIA NJEMA ZA KIUTUMISHI NA KUEPUKA RUSHWA" - BRIG.GEN LUPI
BRIGEDIA JENERALI MABENA JKT QUEENS YAPANGWA KUNDI B MASHINDANO YA CAF WANAWAKE
GADI YA MAPOKEZI CUJKT ILIVYOMKARIBISHA BRIG GEN LUPI.
BRIGEDIA JENERALI NGATA AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MAREHEMU SAJINITAJI SALUM MOHAMED LUGALO
JKT OLJORO NA KAZI YA SANAA NI HATARI.😀
CHUO KIKUU CHA DODOMA WAKIRI KAZI YA KIZALENDO YA SUMAJKT GUARD LTD.
BRIG JEN. LUPI AWAFUNDA WANAFUNZI DHIDI YA UKIMWI/MAHAFALI YA KIDATO CHA NNE SHULE YA KAWAWA
KAMPUNI YA UJENZI SUMAJKT YAENDELEA KUNG'ARA MANISPAA YA KAHAMA
KAMPUNI YA USAFI SUMAJKT WAPEWA ELIMU YA KUPAMBANA NA MAJANGA
KIMBUNGA JAZZ BAND NDIO HII BWANA.
KAMPUNI YA ULINZI SUMAJKT GUARD YAFANYA KIKAO CHA MABORESHO
MAHAFALI KIDATO CHA NNE YAFANA JITEGEMEE/MKURUGENZI WA JIJI AKOSHWA NA JITIHADA.
VIJANA WA JKT OPERESHENI NISHATI SAFI WAMEASWA KUJIEPUSHA VITENDO VYA KIALIFU
BRIGEDIA JENERALI MABENA AMERIDHISHWA NA MAANDALIZI YA KUFUNGA MAFUNZO LUWA JKT
UNAIKUMBUKA SINGE NYAMA HAITALALA?
CHENJA ZA MORALI VIJANA WA ITAKA JKT WAMEPIKWA WAMEIVA
ZINGATIENI MATUMIZI SAHIHI MITANDAO YA KIJAMII - RC SONGWE
KAZI ZA MAJESHI LAZIMA UGANGAMALE!!
VIJANA MUJIBU WA SHERIA RUVU JKT WATAKIWA KULINDA KIAPO CHAO
SERIKALI KUENDELEA KUWEZESHA MAFUNZO YA JKT- MHE. SITTA DC IRINGA
OPERESHENI NISHATI SAFI KUHITIMU MAFUZO KESHO MAFINGA JKT
KAMPUNI YA ULINZI SUMAJKT KANDA YA DODOMA YAZINDUA JENGO LA OFISI.
UKAKAMAVU WA ASKARI/ZIARA YA KIKAZI SUMAJKT GUARD KATIKA STESHENI KUU DODOMA
MKURUGENZI MWENDESHAJI SUMAJKT GUARD ATEMBELEA WALINZI VITUO VYA SGR.
WAHADHIRI UDSM WATEMBELEA SUMAJKT KUJIFUNZA