Shaykh Nassor Bachu رحمه الله Lost Tapes

BISMI LLAHI RRAHMANI RRAHIYM ( بِسْمِ اللهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيْمِ )

Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote.

Kwa idhini yake ALLAH mwingi wa rehma, Channel hii imelenga kukuletea darsa mbali mbali na mihadhara aliyowahi kuifanya Shaykh Nassor Bachu رحمه الله
Hii itajumuisha darsa zaidi ya 400, zikiwemo darsa za:
1) Ahkaamul Janaaiz
2) Fiqh us Sunnah
3) Riyadh us Swalihiin
4) Tafsir ya Qur’an
5) Na darsa nyengine mbalimbali pamoja na mihadhara

Tafadhali SHARE, LIKE na SUBSCRIBE ili tuweze kusambaza faida hizi kwa wengi wengineo.