Mwl Ombeni Mkumbwa

Karibu kwenye Channel ya Neno la Mungu✝️ tujifunze Pamoja,Kua Kiroho Pamoja Nasi.

Kutoka 14:13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.

Phone no. +255698985589
Email:[email protected]