Fr. Peter Kafumu, OFM Cap

AMKA ULE (1WAFALME 19: 5b, 7)

AMKA ULE ni maneno tunayoyapata 1Wafalme 19:5b, 7. Ni maneno aliyoambiwa Nabii Eliya na malaika wa Bwana alipofika mahali pa kuchoka na kukata tamaa kabisa ya kuendelea na safari ya maisha na wito wake. Ndugu zangu wapendwa ni hakika kuwa mara nyingi katika safari ya maisha tunakutana na changamoto nyingi na magumu ambayo yanatupekea kukata tamaa.

Nimeanzisha channel hii kwa lengo la kutoa mafundisho ya neno la Mungu yatakayokuwa yanatupa nguvu pale tunapochoka kwenye maisha na miito yetu mbalimbali. Kumbe nawakaribisha kwa maneno hayo AMKA ULE.

Fr. Peter G. Kafumu, OFM Cap