Kanisa la Maombi Chemichemi ya Uzima TV

Karibu kwenye channel rasmi ya Rev. Dr. Denis Makamba — mahali ambapo Neno la Mungu linaguswa, maisha yanabadilishwa, na nguvu za kiroho zinaachiliwa kwa utukufu wa Yesu Kristo.

Hapa utapata:
🔥 Mahubiri ya kina yenye ufunuo wa kipekee
🔥 Ibada za maombezi & Deliverance
🔥 Ujumbe wa uponyaji, faraja na matumaini
🔥 Live Streams za kiroho (Ibada, Seminars, Night Vigils)
🔥 Neno la siku & mafundisho ya kuinua roho
🔥 Shuhuda za miujiza na matendo ya Mungu

Dira ya Huduma:
Kuwafikia watu wa mataifa yote kwa Injili ya Yesu Kristo, kuwaokoa waliopotea, kuinua waliovunjika moyo, na kuimarisha kanisa la Mungu kwa nguvu za Roho Mtakatifu.

Ungana nasi kila wiki, jisubscribe, bonyeza alama ya kengele 🔔 ili usipitwe na ujumbe wowote wa kiroho unaoweza kubadilisha maisha yako.

“…Kwa kuwa neno la Mungu ni hai, lina nguvu, tena linafanya kazi.” – Ebr. 4:12