KWAYA MT. JOSEPH BUNJU

Jiunge nasi upate taarifa za kila wiki.
Karibu katika chaneli yetu ya kwaya ya mt.joseph parokia ya bikiramaria mlima karmeli bunju, katika hii chaneli tunainjilisha na kuelimisha katika jamii na kukuza imani katoliki katika jamii na uimbaji ulio wa roho na kweli.