Bunda Town Council
Kwa habari moto moto na za uhakika tembelea page yetu ya YouTube ya Halmashauri ya Mji wa Bunda
Serikali kumkomboa Mkulima Bunda kuelekea kilimo chenye tija kwa kutumia zana za Kisasa
Halmashauri ya Mji wa Bunda inaendelea na zoezi la utambuzi wa mifugo, wafugaji waomba liwe endelevu
Katibu Tawala Bunda awasihi waumini wa Kanisa Katoliki kujitokeza kwa wingi kupiga kura
Wasimamizi wa Vituo vya kupigia Kura wasisitizwa kutafsiri vema sheria na kanuni za Tume ya Uchaguzi
Viongozi wa Dini Bunda watakiwa kuhubiri Amani na kuwasihi kujitokeza kupiga Kura
DC BUNDA AWAHAKIKISHIA AMANI NA USALAMA WANANCHI WA BUNDA WAKATI WA UCHAGUZI
Wasimamizi wa Vituo vya kupigia Kura jimbo la Bunda Mjini wapo tayari Kutuhudumia
Mitaa imeitika, ni mwendo wa kupiga kura kuchagua viongozi bora
Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Bunda Mjini Bi. Antonia Ndawi atoa Tangazo muhimu kuelekea Uchaguzi
Mahafali kidato cha nne 2025 Nyiendo Sekondari zafana, DAS Bunda aahidi kutatua changamoto za shule
Waumini wa kanisa la Anglican Dayosis ya Rorya waaswa kujitokeza kwa wingi kupiga kura Oktoba 29
Salamu za Mh Mkuu wa Mkoa wa Mara kwa waumini wa Kanisa la Anglican Dayosis ya Rorya
Kwaniaba ya RC Mara DAS Bunda apongeza kanisa la Anglican Dayosis ya Rorya kwa Uinjilist wa Kishindo
Mwenge wa Uhuru 2025 wapongeza ubora wa miradi Halmashauri ya Mji wa Bunda
Shangwe la Timu ya michezo ya Watumishi wa Bunda TC baada ya kuibuka washindi wa CWT bonanza
Kitalu cha Halmashauri ya Mji wa Bunda maonesho ya nanenane Nyakabindi kimenoga, Tazama inavyopendez
Vikundi Bunda Mji vya Vijana wanawake na watu wenye ulemavu vyaishukuru Serikali kuwapatia mikopo
DAS Bunda Salumu Mtelela akabidhi vikundi hundi ya zaidi ya sh milioni 430 mkopo bila riba Bunda Mji
Simanzi na majonzi zatawala kwa watumishi, wanafunzi na majirani wakimuaga marehemu Mwl Kinyamagoha
DC Kaminyoge aipongeza timu ya Twende Butiama kwa kazi nzuri wanayoifanya ya kumuenzi baba wa Taifa.
Waoh! Tazama Bonanza la michezo la watumishi Bunda TC, Bunda DC, Rorya DC jinsi lilivyofana
Diwani Flavian aibua hoja Wenyeviti serikali zamitaakuongezewa posho,Mkurugenzi Juma Haji Juma ajibu
DAS Mtelela atoa maelekezo baraza la Madiwani kukamilisha miradi, usafi, kulinda na kuongeza mapato
DAS Bunda ashauri wafanyabiashara wanaoguswa na mradi wa TACTIC Bunda wahamishiwe maeneo ya Serikali
Dokta Hamidu Mganga Mkuu Bunda DC ataja dalili na vichochezi vya ugonjwa wa kipindupindu Bunda
Tahadhari Ugonjwa wa Kipindupindu Bunda, wawili wafariki wagonjwa wapo zaidi ya kumi.
Waoh, Tazama jinsi siku ya wanawake ilivyopokelewa na watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Bunda!
Baraza la Madiwani Halmashauri ya Mji Bunda lapitisha Bajeti ya TARURA kwa Mwaka 2025/2026
Serikali yawaondoa hofu Madiwani kuhusu miradi ya barabara ambayo bado haijakamilika