Happy Msale

Mimi ni mtaalamu wa mambo ya fedha, (nina shahada ya uzamili ya Usimamizi wa Biashara) na kwenye chaneli hii tunazungumzia masuala ya fedha, kuweka akiba, kujiendeleza binafsi na uwekezaji.