TENGWA TV

Kupitia channel yetu tunatoa mafundisho ya Neno la Mungu juu ya UAMSHO WA KIROHO na kuliandaa kanisa kwa unyakuo. tunakukaribisha uungane nasi kwa kufuatilia mafundisho haya. Usisahau ku-subscribe, ku-like, kutoa maoni ( ku-comment) na kushare ujumbe uupatao. Mungu akubariki sana .