Redemption Of Christ

Karibu ujifunze mambo ambayo MUNGU anapitisha kwa mtumishi wake Pastor Charles Hingi, Napenda kukwambia hakika utapona na kujifunza vitu vingi vya kiroho ambavyo Mungu anapitisha kwa mtumishi wake.

Video zote ambazo ziko hapa ni kwa ajili ya kukujenga, kukuponya na kukuwezesha umjue Mungu zaidi. Kanisa letu linapatikana Welbeck Street Ashtony - Under Lyne - Manchester.