𝐌𝐒𝐄𝐕𝐄𝐍

HELLO,
ASSALAM ALAIKUM HABARI ZA MDA HUU.

Karibu kwenye channel yatu pia kwenye ulimwengu wa mafanikio!

Mimi ni MSABAH ABDALLA MSABAH, Mzaliwa wa ZANZIBAR, na niliyelelewa PONDEANI CHAKE CHAKE PEMBA, Pia wengi wananitambua kwa umaarufu wa MSEVEN

A Young Digital Entrepreneur
Mwalimu wa maswala ya Mafanikio

Nimejitoa kusaidia watu kugundua uwezo wao wa kipekee na kufanikisha ndoto zao. Pia, mimi ni Balozi wa Forever Living Products, nikihamasisha maisha bora kupitia bidhaa za ubora wa hali ya juu. Lengo langu ni kuwahamasisha na kuwawezesha watu kufikia ndoto zao katika safari ya kuboresha afya, ustawi, na mafanikio ya kifedha.

Ni furaha yangu kushirikiana nanyi kwa ajili ya kujenga maisha bora kiafya na kiuchumi.

Usisahau kubonyeza Subscribe ili upate updtate ya videos zetu za kila wiki!
Mawasiliano yangu ni 👇
Kupata kufanya kazi na mimi moja kwa moja.

Call/SMS/WhatsApp
[0719395930]
https://www.youtube.com/@mseven_007