Heri Mkristo

Mimi ni muimbaji wa nyimbo za Injili na pia ni Mtunzi wa nyimbo za Injili, Ninawakaribisha Sana watu wa MUNGU tuitangaze Injili ya BWANA kwa njia ya uimbaji mbarikiwe Sana Watu wa MUNGU. Amen