Ukombozi film tz

🎬 Karibu kwenye Channel Yetu ya Filamu
UKOMBOZI FILM TZ
Hapa utapata:
✓ Filamu za Kitanzania kutoka Shinyanga
✓ Behind the scenes za uandaaji wa filamu
✓ Maendeleo ya wasanii wa hapa nyumbani
✓ Trailer, makala, interviews na vipindi mbalimbali

Tunajivunia kuibua vipaji na kuleta burudani halisi kutoka mkoa wa Shinyanga.

📞 Mawasiliano: 0740 191 283
📍 Location: Shinyanga, Tanzania

👉 Usisahau ku-subscribe, like & comment ili kupata filamu mpya kila wiki!