Evvy Movies

Evvy Movies ni chaneli nambari ya moja ya filamu kutokea sehemu mbalimbali ulimwenguni kote zilizotafsiriwa kwa lugha adhimu ya kiswahili.

Tangia Evvy Movies ianzishwe mnamo Novemba 28, 2024 tunajivunia kuwafikia watumiaji wengi wa lugha ya kiswahili na hata wale wasiotumia lugha ya kiswahili.

Dhamira yetu kubwa ni kukusanya, kuyatafsiri, kuyaelezea na kuyapa ladha maudhui yaliyopo kwenye kazi mbalimbali za filamu.

Uwepo wako kwetu ni muhimu sana, tushike mkono kwa ku-subscribe Channeli yetu.

Jiunge na group letu la Whatsapp kwa namba: 0685191720