Manhaj Online TV

Karibu Manhaj Online TV – Kituo bora cha kuelimisha jamii kuhusu misingi sahihi ya Dini ya Kiislamu.

Tunatoa mafundisho yanayohusu:
- Swala, Funga, Zaka na Hijja
- Maadili mema na malezi ya Kiislamu
- Mawaidha, darsa, na vipindi maalum vya kidini
- Kadhaalika maswali na majibu kuhusu masuala ya dini.

📌 Lengo letu ni kusambaza elimu ya dini kwa njia sahihi, nyepesi na inayoeleweka kwa kila mtu.

📅 Tazama Video zetu tunazozituma kila siku na washirikishe na wengine.

💸 Support Us via M-Pesa
- Lipa Namba: 50211673
- Account Name: Manhaj Media Production

Support yako inatusaidia kuendelea kutengeneza maudhui bora ya Kiislamu na kijamii.

🔔 Subscribe ili usikose mafundisho mapya kila siku.