Pastor Elly Mwasenga

Tumetumwa na Mungu kwako na kwa watu wako. Bwana ameweka vinywani mwetu Neno la maisha yako lakini zaidi sana tumebeba neema za Mungu za kila namna kwa ajili ya ustawi wako kiroho, kiuchumi, afya, familia, utumishi n.k

Usipitwe na baraka hizi, tafadhari SUBSCRIBE na uifanye channel hii kuwa ni yako. Washirikishe watu wako upendo kwa kuwafikishia habari hizi njema wawe sehemu ya huu mtembeo wa Mungu.

Maisha yako yanaenda mbele kwa kadri ya unavyolipa kipaumbele Neno la Mungu unalopata mahali hapa. Hongera.