KWAYA YA MT.TOMASO AQUINO (KMTA) CHUO KIKUU EMBU

Kwaya Ya Mtakatifu Tomaso Wa Aquino Ilianza Mnamo Mwaka Elfu Mbili Kumi Na Nne Kutokana Na Uanzilishi Wa Kundi La Wakatoliki (YCS) Katikati Chuo Kikuu Embu Kwa Mwongozo Wa Rev. Fr. Joseph Kirimi Ili Kusaidia Katika Uimbaji Kwenye Ibada Takatifu ✝️✝️🙏🙏

Kundi Hili Linao Waimbaji Na Walimu Wa Muziki Kutoka Pale Chuoni ... Tunawakaribisha Wanakwaya Wageni Kila Mwaka Shule Inaposajili Wanafunzi Wapya Na Pia Tunawakaribisha Wageni Kutoka Nje ...💯💯

Kando Na Uimbaji Katika Misa Chuoni Tunaimba Katika Sherehe Mbali Mbali Kama Vile ;Harusi, n.k.....🙂🙂

Tupe Support Kwa Ku~Subscribe 🔔🔔
📌Yt~ KMTA
📌Tiktok ~KMTA

SHUKRAN 🙏🙏