LIFE BRIDGE PENTECOSTAL CHURCH TANZANIA (LPCT)

Karibu kwenye chaneli rasmi ya kanisa la Life Bridge Pentecostal Church Tanzania (LBPCT) kanisa linaloongozwa na mtumishi wa Mungu, Askofu Michael Peter Imani.

Kupitia chaneli hii utapata mahubiri, Neno la Mungu na matukio yote ndani ya kanisa letu.

Unahitaji msaada wa maombi na maombezi? Wasiliana nasi kwa simu namba:
+255 754 073 551 au +255 655 175 742