Uvuke Evangelist Choir
Kwaya ya Uinjilisti Uvuke Kanisa Kuu. Ilianzishwa 28/10/1961. Ipo Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu, Dayosisi ya Central Tanganyika (DCT). Ni Mabingwa wa Uimbaji wa sauti nne, na pia hutumia mahadhi ya kiutamaduni katika kufikisha Injiri.