Pastor Aloyce J Aloyce

Aloyce J Aloyce ni Mchungaji Kiongozi na Mwanzilishi wa kanisa la Disciples Community Church (DCC) liliko Kisesa Jijini Mwanza Tanzania.

Aloyce J Aloyce amekua mzee wa Kanisa kwa zaidi ya miaka 5 katika kanisa la FPCT NENO LA NEEMA lililoko Bunda mjini chini ya Mchungaji Tukiko Omoso, Na amekua Mzee wa kanisa kwa miaka 3 katika kanisa la TAG-Mwanza International Community Church (MICC) lililoko Jijini Mwanza chini ya Mchungaji Dr. Zakayo Nzogere.

Aloyce J Aloyce ni mwandishi wa vitabu zaidi ya 20 na mseminishaji wa mambo ya mahusiano na Walimu wa watoto Makanisani kwa zaidi ya miaka 5 sasa. Na ndio maana aliandika Mtaala wa Shule ya Watoto Makanisani na mwongozo wa kufundisha watoto makanisani

UNAWEZA KUTOA SADAKA YAKO KWA NAMBA
0757 344 860
MUNGU AKUBARIKI SANA