Jicho la Tanzania

Jicho la Tanzania ni channel inayolenga kutoa uchambuzi huru, taarifa makini, na mtazamo wa kina kuhusu matukio yanayoigusa Tanzania. Hapa tunafichua, tunafundisha, na tunaelezea kwa usahihi. Karibu tuweke Tanzania kwenye ramani ya uelewa.