Hazina ya Kanisa

Chaneli hii ni kwa ajili ya mafundisho ya Biblia, masomo ya kiroho na elimu ya historia mbali mbali zitakazokusogeza karibu na Mungu. Lengo letu ni Afrika na Dunia yote ibaki kwenye maarifa sahihi ya neno la Mungu. Karibu sana.

Unaweza kutusapoti kwa sadaka yako kwa namba hii +255 753114222

Mwalimu Vincent Mwakisyala
#nitajitianguvukwaBwana
#hazinayakanisa