UISLAMU DINI YETU 🕌🕋

Bismillahi Rahman Rahiim Assalam alaykum warahmatulillah wabarakatuh karibu katika CHANNEL YETU (UISLAMU DINI YETU) kwa lengo la kujifunza Elimu ya dini kwa misingi ya QUR'AN Na SUNNAH . HATURUHUSU COMMENTS ZA MATUSI NA LUGHA CHAFU ZINGATIA MASHARTI YA CHANNEL YETU, ALLAH AWAHIFADHI
جزاك الله خيرا