DIRECTOR RAQQASO

🎬 Karibu kwenye Channel ya DIRECTOR RAQQASO 🎶Hii ni sehemu rasmi ya kazi za qaswida za kipekee zinazoelezea maadili, imani na uzuri wa dini kupitia sauti, mashairi na picha zenye mvuto wa kipekee.
Mimi ni DIRECTOR RAQQASO, mwelekezi wa video hizi, nikiwa nyuma ya kamera kuhakikisha kila qaswida inawasilishwa kwa ubora wa hali ya juu – ikigusa nyoyo na kuleta utulivu.
Katika channel hii, utapata:

✅ Qaswida mpya za kisasa na za asili
✅ Video zilizopigwa kwa ubunifu na ustadi
✅ Maudhui ya kuelimisha, kuburudisha.
👉 Jiunge nasi kwa kubofya Subscribe, uwashe kengele ili usipitwe na kazi mpya, na usisite kushiriki na wenzako. Karibu sana katika familia ya DIRECTOR RAQQASO – mahala pa sauti nzur na Za kisasa.