Pastor Daniel Mgogo
Official YouTube Channel Of PASTOR DANIEL MGOGO,Connect With Me By Subscribe My YouTube Channel For Word Of Salvation,Prayer Support and Inspirational Words From Above.May The Lord God Bless You.
MSALABA NI WA KWAKO SISI TUTAKUSAIDIA MBAO YESU HAKUPOKELEWA "PASTOR MGOGO
KUNA RAHA SANA KUZALIWA MJINI HASA KWENYE FAMILIA YENYE FEDHA "PASTOR MGOGO
WANAWAKE MKAE KIKAO NA MARIAM MAMA WA YESU"MARUFUKU KIJANA YEYOTE KUTEMBEA NA BINTI KABLA YA KUOLEWA
BINTI BADALA YA KUMTAFUTA MUNGU UNATAFUTA SIMU YA MACHO YA MACHO MATATU "PASTOR MGOGO
MKE WAKO /MUME WAKO HANA KIBURI WEWE JUA ULIOA MWANAJESHI "PASTOR MGOGO
WANAUME BADILISHENI STYLE YA KUTOA HELA TOENI HELA MBELE YA WATOTO "PASTOR MGOGO
FAMILIA NYINGI HAZINA FURAHA WATU WANAKAA NDANI KAMA VILE WANANDIKA STATEMENT POLISI "PASTOR MGOGO
WAMAMA WENGI WAMEKUWA WALISHA SUMU KWA WATOTO WAO WAMEFANYA WANACHUKIA BABA ZAO "PASTOR MGOGO
KUNA MABINTI UKIMUANGALIA NI UZINZI KUANZIA KICHWANI MPAKA MIGUUNI KILA KITU NI UMALAYA"PASTOR MGOGO
MWANAMKE ANA SIKU 15 AU 16 KWA MWEZI HIZO NYINGINE JIPANGE "PASTOR MGOGO
CHAPA KAZI MAMBO YA KWENDA JIM ILI UPATE SIX PACK MABINTI WAREMBO UTAWAITA SHEMEJI" PASTOR MGOGO
WANAUME WA KUKUPA HELA BILA KUOMBA WALIKUFA KWENYE AJALI YA MELI YA TITANIC: PASTOR MGOGO
DHAMBI INAMFUATA MTU KILINGANA NA MAISHA YAKE NA MAMBO YANAYOMZUNGUKA "PASTOR MGOGO
KAMA HUNA HASIRA HIYO NAYO NI DALILI YA UGONJWA MUNGU ALIWEKA HASIRA KWA MAKUSUDI "PASTOR MGOGO
UKITAKA KUJUA WATU WANAKUAMINI SIKU UFANYE MABAYA "PASTOR MGOGO
NAFASI NYINGINE UNAZIFUNGUA WEWE BABA KUMFANYA MKE WAKO AWE MALAYA "PASTOR MGOGO
NGUZO 12 ZAINAZOKAMILISHA NDOA ZETU SEHEMU YA KWANZA "PASTOR DANIEL MGOGO
HAKUNA KITU KINAUMIZA KAMA DHARAU KWENYE FAMILIA "PASTOR MGOGO
UNAKAPELEKA KATOTO SHULE TAYARI KANA MAGARI YAKO TUNASOMESHA MAGOROFA "PASTOR MGOGO
HAMSHITUKI YANI WEWE TUKUOMBEE UPATE GARI MIMI MCHUNGAJI MNICHANGIE SHITUKENI MNAIBIWA”PASTOR MGOGO
BE FLEXIBLE KAMA MTI WA KRISMAS HAUBEBI SNOW BINADAMU UKISHINDANA NAO ATAKUCHOMA"PASTOR MGOGO
MAMBO NANE AMBAYO MWANAUME ANAPASWA KUJUA KWENYE FAMILIA " PASTOR DANIEL MGOGO
UNAOMBA OMBA WANAUME TAFUTA HUYO ULIEZAA NAYE MANA WAKATI MKICHEZA SARAKASI HATUKUWEPO "PASTOR MGOGO
KAMA HUJAOA KIJANA UTATUFANYA TUFIKIRI KWAMBA HUWENDA WEWE MWENYEWE NI MKE WA MTU "PASTOR MGOGO
VIONGOZI PENDENI KUAMBIWA UKWELI ACHENI KUPENDA SIFA SEHEMU YA KUKOSOLEWA PASTOR MGOGO
HATUAMINIANI NENDA BENKI HATA KALAMU ZINAFUNGWA NA KAMBA"PASTOR MGOGO
WANAWAKE WAKATI WOTE WANAMINI MWANAUME NI MSALITI "PASTOR MGOGO
UNA WANAWAKE HAWAJULIKANI NDUGU UNADHANI UNAWEZA KUMALIZA WANAWAKE WOTE "PASTOR MGOGO
UKIONA MWANAUME ANA NGUO NYINGI KULIKO MWANAMKE APELEKWE HOSPITAL "PASTOR MGOGO
UNADHANI AMETUMIA MUDA GANI MPAKA AKAWA MGOGO PART 2