Aviation Tanzania
This is a channel on aviation from Tanzania. It is dedicated exclusively to aviation-related videos. It covers different fields of aviation, providing information, news, and activities in the aviation industry with the aim to educate and raise awareness to the public for the growth of aviation in Tanzania and world at large.
Tunakupatia taarifa, habari na matukio mbalimbali katika sekta ya usafiri wa anga. Lengo ni kufunza na kuelimisha uma juu ya sekta ya usafirii wa anga kwa ujumla wake , hasa tukitilia maanani fani mbali mbali zinazopatikana katika sekta hii, kwa mstakabali wa maendeleo na ukuaji wa sekta hii nchini Tanzania na duniani kote.
Muhitimu wa kozi ya uhandisi wa ndege NIT akielezea aina za ndege walizotumia kwa mafunzo.
Mahojiano na mwanafunzi bora wa kozi ya uhandisi chuo cha taifa cha usafirishaji NIT, 2025.
Mahojiano maalumu na vijana wanaosomea mafunzo ya uhudumu wa ndege chuo cha Precision Air
Chuo cha Precision Air kuanza muhula mpya wa masomo ya uhudumu wa ndege Mwezi Machi 2026.
Precision Air yazindua PAAFLIX: mfumo wa burudani kwa abiria ndani ya ndege.
Arusha Airport: Namna shughuli za uogozaji wa ndege zinavyofanyika ndani ya control Tower.
Meneja wa Arusha Airport afunguka: Ongezeko la abiria, Miruko ya Ndege ,Safari za Ndani na Kimataifa
AeroTechnics Sets Its Sights on Developing Tanzania’s Next Aviation Generation
Ushirikiano wa NIT na AeroTechnics kuwawezesha wahandisi wa ndege kupata leseni za kimataifa
Aerotechnics and NIT Sign MOU to Strengthen African Aviation Training.
Rubani wa miaka 20 anayezunguka mabara yote saba aachiwa huru baada ya kukamatwa Antarctica.
Rwanda Launches Africa’s First Self-Flying Air Taxi at Aviation Africa 2025
AI and its role in Transportation and Logistics.
Prof. Ian McAndrew: AI and its role in Transportation and Logistics
How Seaweed Can Be Transformed Into Bio-Oil
From Seaweed to Bio-Oil: Prof.Tilmann Gabriel’s Game-Changing Presentation.
“Tulidhani tunafahamu vingi kuhusu drone lakini baada ya mafunzo tumegundua hatukuijua hata robo”
Matumizi ya ndege za “Drones” katika uchimbaji wa madini.
Mahojiano na Muongoza Ndege Uwanja wa JNIA nayepata mafunzo ya Drone katika chuo cha anga Tanzania
“Mafunzo tuliyopata darasani yametusaidia kuelewa sheria za urushaji wa “Drone”
Tazama wanafunzi wa kozi ya drone kutoka CATC wakifanya mazoezi kwa vitendo Kawe, Dar es Salaam
Fahamu Kozi ya Kurusha Drone katika Chuo cha CATC: Gharama,Vigezo vya Kujiunga na Mchakato wa Leseni
Fahamu gharama na Sifa za kusomea uhudumu wa ndege chuo cha Precision Air.
Ndege za kijeshi aina ya C-130 zasambaza tani 25 za misaada Gaza kutoka Jordan na UAE
Mahojiano na Muhakiki wa kiwango cha mizigo ndani ya ndege, kiwanja cha ndege cha Mwanza.
Tazama uzinduzi wa safari mpya za Flightlink, Arusha-Mwanza
Kabla Hujamiliki au Kusafirisha Drone Tanzania, Fahamu Masharti na Hatua za Kisheria
Una ndoto ya Kuwa Cabin Crew? Fahamu Kozi na Gharama kutoka Chuo cha Air Tanzania
Mamlaka ya viwanja vya ndege katika maonyesho ya 49 ya sabasaba
Kutoka Maonyesho ya Sabasaba: Hizi Ndizo Huduma na Gharama za Air Tanzania kwa Wateja wake.