Lucid tv

Channel hii ya Lucid tv imeanzishwa kwa nia kubwa ya kumfikia mkristo hasa mkatoliki kwa;
✓ Njia ya Sala mbali mbali (novena, rozari na sala zinginezo),
✓ Nyimbo za vipindi husika katika mwaka wa kanisa,
✓ Habari za kanisa ndani na nje ya Tanzania,
✓ Mafundisho ya kanisa (Katekisimu),
✓ Historia ya kanisa, watakatifu na ya viongozi wa kanisa, n.k.
Hii yote ni kumrahisishia mkatoliki kusali na kupata yote ambayo yatamuongezea imani yake.

OMBI: Channel Hii bado ni Changa, hivyo basi ninakuomba wewe uweze kunisaidia kukuza channel kwa Ku_subscribe, ku_share, ku_like na ku_comment. Kwa kufanya hivyo utakuwa umechangia kwa kiasi kikubwa kujenga channel hii. Link ya channel ipo hapo chini kwaajili ya ku_share na watu wengine. Natumaini kuwa unafurahia Video zilizopo hapa, nakutakia utazamaji mwema na Mungu akubariki.

Lucid tv,
Mkatoliki Imara