Shirika la Nyumba la Taifa

Karibu katika Televisheni ya Mtandao ya MAISHA NI NYUMBA TV inayoendeshwa na Kitengo cha Mawasiliano cha Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) karibu ujipatie taarfa za kina na za undani zinazohusu sekta ya uendelezaji miliki na ujenzi.