Site Tv Online

Karibu kwenye ukurasa rasmi wa SITE TV YouTube channel.

SITE TV makao Makuu yapo Mpanda Manispaa Mkoani Katavi, Ofisi zake zipo Jengo la Mpanda Plaza Ghorofa ya 3.

Ni ukurasa makhususi kwa ajili ya Habari za uhakika Masaa 24 kupitia channel yetu ya YouTube, Instagram, Twitter na Facebook kwa kuandika @sitetvtz.

Pia kwa mawasiliano mengine ya Kiofisi unaweza kutumia Barua pepe kwa÷
P.O.Box 235
Email: [email protected]

#TukutaneSite #TukutaneKazini