TURIYU TV

Chanel hii ni chanel ya mafunzo mbalimbali ya dini. Na haswa mafundisho ya tiba mbali mbali pamoja na dua. Zikiwemo tiba za kisayans na tiba za mashaitwani na uchawi. Sambamba na simulizi za kweli. Karibuni Sana katika Turiyyu tv