Tanzania Mifugo Digital Tv

Tanzania Mifugo Digital
Iko chini ya kampuni ya Tanzania Kilimo Digital
mahali hapa nisehemu sahihi Kwa wafugaji wote iwe wafugaji wa kuku,ng'ombe,nguruwe,mbuzi,samaki na mifugo mingine hapa utajiunza mambo mengi zaidi ikiwamo kuendesha mradi ,kupambana na magonjwa, masomo ya mifugo na mengineyo.
ofice yetu ipo
Dar es salaam
ilala Machinga complex
jengo la upande wa magari ya kigamboni
wasiliana nasi Kwa 0714569056