UDSM CCT MEDIA
UDSM CCT CHAPLAINCY ni Kanisa la umoja lililopo katika chuo kikuu cha Dar es Salaam TANZANIA. Kanisa hili linawaunganisha wanafunzi wote wa vyuo vikuu na vyuo vya kati vilivyopo katika mkoa wa Dar es Salaam TANZANIA wanaoabudu katika Makanisa wanachama wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT). UDSM CCT MEDIA ni kituo cha habari kilichoanzishwa na Kanisa la umoja la Chuo kikuu cha Dar es Salaam tarehe 19 Agosti 2021 ili kurusha Maudhui mbalimbali ya Kikristo (Matukio, Mafundisho na Mahubiri) yanayotolewa katika kanisa hili, tafadhali Usisahau ku-SUBSRIBE, LIKE, COMMENT na Ku-SHARE LINK kwa wengine pindi utazamapo video katika kituo chetu hiki cha habari.
PIA UNAWEZA KUSHIRIKI NASI KATIKA IBADA ZETU KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA VODACOM (MPESA): +255744-774 999, CRDB BANK 0150259509100 JINA: CCT CHAPLAINCY UDSM. UBARIKIWE.
UZIMA WA MILELE NI KWA AJILI YAKO. MWALIMU SHEDRACK MGONJA CCT CHAPLAINCY UDSM. ZABURI 118: 25-26.
HOTUBA NZURI YA M/KITI KWAYA YA HOSANA SIKU YA KUSHEREJEKEA MIAKA 30 YA KWA HIYO. NOV. 23, 2025.
HUU NDIO WIMBO WA KWANZA KUTUNGWA NA KUIMBWA NA KWAYA YA HOSANA ILIVYOANZISHWA MWAKA 1995. CCT UDSM.
KWAYA YA HOSANA WALIVYOITENDEA HAKI SIKU YAO MAALUMU. NOVEMBER 23, 2025.
KWAYA YA HOSANA WAKISHEREHEKEA SIKU YAO MAALUMU. NOVEMBER 23, 2025. CCT CHAPLAINCY UDSM.
NAFASI YA BABA KATIKA MALEZI NA WAJIBU WA MAMA KATIKA KUMTII MUME WAKE. MIN. WINSTON ULOMI. CCT UDSM
SOMO: TUVUMILIE HATA MWISHO KATIKA BWANA. REV. RESTITUTA THEOBALD, CCT CHAPLAINCY UDSM. 9/11/2025
SOMO: VITA VYA KIROHO. REV. JAMES LUBADANJA, OCTOBER 26, 2025. CCT CHAPLAINCY UDSM.
KWAYA YA HOSANA WAKIMTUKUZA MUNGU KWA NJIA YA UIMBAJI, OCTOBER 19, 2025. CCT CHAPLAINCY UDSM.
SOMO: IMANI ILETAYO USHIMDI. MWINJILISTI GODWIN MALALI. CCT CHAPLAINCY UDSM.
MILANGO INAYOTUMIKA KUHARIBU MISINGI BORA YA MALEZI BY REV. JAMES LUBADANJA. OCTOBER 12, 2025.
HASARA ZA MALEZI MABAYA. REV. RESTITUTA THEOBALD. CCT CHAPLAINCY UDSM. OCT 5, 2025.
ENGLISH SERVICE, SIKUKUU YA MIKAELI NA WATOTO. OCTOBER 5, 2025. CCT CHAPLAICY UDSM.
''MAFANIKIO YA WATOTO NI MATOKEO YA MALEZI BORA''. OSTIN MARO - CCT UDSM. #motivation #kanisa
MALEZI BORA NI CHANZO CHA KIZAZI BORA. OSTIN MARO - MIKAELI NA WATOTO CCT UDSM. #motivation #kanisa
SOMO: MALEZI YA MTOTO KIBIBLIA. REV. DR. JOSEPH MAYALA. SEPTEMBER 21, 2025. CCT CHAPLAINCY UDSM.
SOMO: MALEZI YA MTOTO KIBIBLIA. REV. DR. JOSEPH MAYALA. SEPTEMBER 21, 2025. CCT CHAPLAINCY UDSM.
SOMO: MTENDEE WEMA JIRANI YAKO. 1The. 5:15-22. REV. RESTITUTA THEOBALD, CCT CHAPLAINCY UDSM.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUIMARISHA UHUSIANO WAKO NA MUNGU. Yohana 14: 16-18.
SIKU TATU ZA KUFUNGA NA KUOMBA, DAY 3, SEPTEMBER 6, 2025. UDSM CCT CHAPLAINCY.
#LIVESTREAMING. IBADA YA 1, SIKU YA BWANA YA 11 BAADA YA UTATU. AUGUST 31, 2025. CCT CHAPLAINCY UDSM
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUYAJUA MAPENZI YA MUNGU NA KUYAFANYA. CANON DR. MOSSES MATONYA.
NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUSIMAMIA KUSUDI LA MUNGU. NEHEMIA 2: 11-20. REV. JAMES LUBADANJA.
SOMO: UCHAGUZI WA BUSARA. REV. RESTITUTA THEOBALD. UDSM CCT CHAPLAINCY.
SOMO: NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUZAA MATUNDA MEMA. REV. JAMES LUBADANJA. UDSM CCT CHAPLAINCY.
SOMO: NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUZAA MATUNDA MEMA. REV. JAMES LUBADANJA, UDSM CCT CHAPLAINCY.
WEDDING SERVICE, JULY 27, 2025. UDSM CCT CHAPLAINCY.
MCHANGO WA FAMILIA NA KANISA KATIKA MALEZI YA WATOTO. MCH. LIVINGSTONE MSUNGU. JULY 27, 2025.
ILI UWEZE KUKUA KATIKA KUMJUA MUNGU, DUMU KATIKA NENO LA MUNGU. REV. JAMES LUBADANJA.