Tamaduni TV

Tamaduni TV

Ni YouTube channel yenye maudhui ya Utamaduni wa *Mwafrika* hasa ikijikita katika Utamaduni wa makabila ya *Tanzania*

Channel inajihusisha na ukusanyaji, urushaji na usambazaji wa video za *Mira* *Desturi* na *Burudani* za makabila mbalimbali, zenye lengo la *Kuhifadhi* *Kufundisha* *Kuelimisha* na *Kuburudisha* jamii husika na wengine kiujumla.

Maudhui haya yanalenga kukuza, kuendeleza, kufundisha na kuhifadhi tamaduni zetu, ukiwa ni pamoja na burudani zetu kama vile ngoma na nyimbo mbalimbali.

MAWASILIANO
Phone: 0624909907
Email: [email protected]

#UNESCO