WITO KWAYA MBEYA

Channel hii ni ya wito kwaya kutoka kanisa la BAPTIST KANAN MWANJELWA MBEYA tupo tayari kutumika mahali popote kwa ajili ya Bwana tafadhali tuunge mkono kwa KUBSCRIBE channel hii ili uendelee kupata nyimbo zetu
tunapatikana
MWANJELWA MBEYA
SIMU 0716645548/0754060575/0786502302
Facebook ; WITO KWAYA MBEYA