KEN SWAHILI STORIES

Habari rafiki! Mimi naitwa Ken, msimulizi wa hadithi za Kiswahili. Karibu kwenye KEN SWAHILI STORIES 🎥
Hapa utakutana na simulizi za kusisimua, zenye mafunzo na burudani. Ninatumia sauti na picha zilizoundwa kwa ubunifu mkubwa.
Kila video imefanyiwa maandalizi kwa umakini wa hali ya juu.
Tafadhali SUBSCRIBE ili uwe wa kwanza kufurahia hadithi mpya kila mara! 🌟

Asante sana kwa msaada wenu katika kutengeneza hizi simulizi.
MPESA TILL (BUY GOODS) - 9659571

Disclaimer: Wahusika na matukio yote katika simulizi hizi ni ya kubuni. Kufanana kokote na watu halisi ni kwa sadfa au bahati mbaya tu.