Dr. Maarifa

KUHUSU MIMI:
Mimi, Maarifa Maron, ni tabibu wa binadamu, mwenye usajili na leseni ya kazi kama tabibu.

MISSION:
Ninaamini kila mmoja anapaswa kuwa Daktari wake mwenyewe na channel hii itakupatia elimu ya afya itakayokusaidia katika lengo hilo.

TAHADHARI:
Maudhui yote katika channel hii yamekusudiwa kwa ajili ya elimu pekee, na sio kuchukua nafasi ya matibabu rasmi kutoka kwa Daktari wako au Hospitalini.

MAWASILIANO:
WHATSAPP 0696 244 141