Gospel Wave Tanzania


Karibu Gospel Wave Tanzania!
Hapa ni mahali pa kukutana na muziki wa injili kutoka Tanzania, Afrika Mashariki na duniani kote.
Tunakulethea aina zote za gospel music — za kusifu, kuabudu, sebene, nyimbo za kwaya, worship za taratibu, praise za kuchangamka, live recordings, instrumentals, na collab za waimbaji mbalimbali.

Lengo la Gospel Wave Tanzania ni:

Kuinua jina la Yesu kupitia muziki

Kusambaza injili kwa kizazi cha leo

Kuwabariki waimbaji kwa kuwafikia watu wengi zaidi

Kukuleta karibu na uwepo wa Mungu kupitia sauti, melodi na ujumbe wa tumaini


Kila wiki tunapakia:
✓ Gospel Praise (za kuchangamka)
✓ Gospel Worship (za kuabudu)
✓ Nyimbo za Kwaya
✓ Sebene za injili
✓ Nyimbo mpya kutoka Tanzania, Kenya, Rwanda, Uganda, Congo na zaidi
✓ Audio & Video official releases
✓ Live church performances

Ikiwa unapenda muziki wa injili wa nguvu — hapa ndipo nyumbani.
Subscribe sasa ili usikose wimbop mpya kila wiki!

Gospel Wave Tanzania — Muziki wa Injili Bila Kikomo.