TaSUBa TV

Karibu kwenye channel rasmi ya Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo(TaSUBa),hapa utapata kujionea mambo mbalimbali yanayotukia kwenye Taasisi yetu,maonyesho ya sanaa mbalimbali kama ngoma za asili,ngoma za ubunifu na kazi mbalimbali za wanafunzi,lakini pia hii ni channel ni rasmi kwa matukio ya Tamasha la kimataifa la Sanaa na Utamaduni la Bagamoyo (Bagamoyo international festival of Arts and Culture) ambalo hufanyika kila mwaka mwezi septemba.karibu,furahia lakini pia usiache kusubscribe .