Kaimbe Swahili Catholic songs

Nyimbo za Kikatoliki. Unafika Kanisani, hujui wimbo unavyoimbwa, unaogopa ukiimba utaharibu, unakuwa bubu. Sikiliza hapa "Kaimbe" Kanisani. Nitakua naongeza mara kwa mara.
Kwahiyo shea, laik na sabskraib. "kaimbe ni jina rahisi la uwanja wetu hapa.
TAZAMA: Unaweza kurudiarudia sauti unayotaka kusikia kwa kuigusa/kuiklik muda kwenye mgawanyo chini kwenye maelezo ya wimbo.

If you are Swahili speaking Catholic diaspora anywhere in the world, and would like to teach others Swahili liturgical songs, this channel is for you. Songs will be added regularly.
So share, like and subscribe. "kaimbe" is the simple name for this channel.
NB. You can always playback a particular voice (part) by touching/clicking its chapter time in description under the song.