Chach Media 💒

Chach Media 💒📸🎥 ni Kitalu kilichoanzishwa kwa ajili ya kutangaza Neno La Mungu Kwa Watu.
Ni channel inayokuletea matukio yote ya kanisa katoliki yakiwemo Misa Takatifu, Upadrisho, Ushemasi , Jubilei, Safari Za Miito Mitakatifu, Fahamu Za Biblia Takatifu, Vitabu vya kiroho...N.k

Unapoitembelea channel yetu Tafadhari #SUBSCRIBE, LIKE ,COMMENT NA SHARE kwa ndugu ,jamaa na marafiki ili utume wetu ukue na kuwafikia wengi.

Chach MEDIA ...Ulipo Tupo Kukuletea Habari Njema 📸🎥....


For Bookings👇👇👇👇

CONTACTS US :: 0768698163 // 0620785527.

Follow Us On 👇👇👇👇👇

INSTAGRAM; #Chach_Media

FACEBOOK; #Chach_Media

Lakini pia tumeandaa group la WhatsApp litakalokuwezesha kupata taarifa za Matukio mbalimbali ya Kanisa Muda Wote ... Kama ungependa kuwa mmoja wetu ..Unaweza kujiunga kwa hiari Kupitia Link hii 👇👇👇👇na Mungu Akubariki

https://chat.whatsapp.com/CjAu45Pdn1W4HVahVYUsQf