Eagt Uzimatele

Kanisa la EAGT uzimatele ni moja ya makanisa ya Evangelistic Assemblies of God Tanzania (EAGT) lililoko maeneo ya Mbezi-Msakuzi, Konoike road karibu na ofisi za mtaa wa Msakuzi Kusini, wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Kanisa hili liko chini ya Mchungaji John D. Ndunguru.