WAMOCHA CLASSIC
The No. 1 Comedian in Luhyaland and the second Most Followed Luhya Comedian in Kenya. Follow My Social Media Handles for More Juicy Content.
Tamaa ni mbaya sana
Jifenze kuwa mtu mukamilifu mwaminifu na tena uwe mtu mwenye Imani 🙏
Hii ndio sababu ya mtu kung'orota akiwa analala 🙏🙏🙏
Mungu ubariki mukono unao toa Bali sio mukono unao pokea 😁🙏🙏
Nandako 🔥🔥🔥🔥
Kuka Wamocha Ninaye yesu (official audio)
Tafadhali tusamehe uyu kijana wetu 🙏🙏🙏 please kuka Wamocha one love ❤️🦾
Mtoto wako fast born akifikisha miaka kumi wewe naae unafaa uwe umemaliza kuzaa 🦾
Umasikini ni wewe mwenyewe ujitakia
Hii Niya watu wenye wivu 😁😁
Mambo ya kupinga to Kila kitu tuachane nayo kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Muachane na luyha king tafadhali 🙏
Jubal ft Wamocha Classic Namwenya ( Official audio)
Lusimo kwa kuka Wamocha 🙏🙏
Leo nimejishindia aka katoto 🤣🤣🤣🤣
Wazazi wenye tabia kama hii wakome kabisa 🦾🦾🦾
Kama mtoto anataka kujenga nyumbani wachana na yeye ajenge 🦾🦾🦾
Kuna watu wanadhania eti Bila wao wewe Fulani awezi ishi 🤣🤣🤣 poleni sana 🙏🙏
Tujifunze kuwa watu wa ukweli tafadhali 🙏🙏
Lubito khwama khu kuka Wamocha nende kuka makulupata 🦾🦾
Wamocha anapenda ugali na omena 🤣🤣🤣
Unaenda kwa choo na ujalipa rent 🤣🤣🤣 wamocha classic
makulupata anataka kuuzia wamocha jeneza 🤣🤣🤣🤣
Makulupata anataka wamocha aingie kwa majini 🤣🤣🤣
Wamocha na makulupata wanataka mama pima 🤣🤣🤣
Okumu anaogopa Ku save pesa ya mjengo ati juu anaeza anguka kutoka kwa gorofa 🤣🤣🤣🤣🤣
OKUMU AJAWAI RUDI NYUMBANI KUANZIA AKUJE NAIROBI 🤣🤣🤣😁
Apa ni mipango ya Christmas to 😁😁😁😁 wamocha anashindwa atatoa wapi nguo 😁😁
Neno LA siku ya Leo. mungu sio wanyonyi Wala mungu sio wafula akisema utapata jua utapata Amina 🙏🙏
Mwanamke sio kiumbe Cha kueleweka ata kidogo 🤣🤣😁😁😁😁