Prisca Wakutumwa
Tanzanian gospel singer and songs writer
🎶Let us praise the Lord 🎶 Zaburi 150🙏
Mithali 16:3
[3]Mkabidhi BWANA kazi zako,
Na mawazo yako yatathibitika.
Commit thy works unto the LORD, and thy thoughts shall be established.🙏🙏🙏
Prisca Wakutumwa:- Amina Lelee… (Na iwe hivyo) Na iwe Maombi (Na iwe kama nilivyoomba 🙌😌🙌) 🙌🧎♀️
Prisca Wakutumwa - NITAKUTAJA WEWE Official Video
Karibu tumwabudu Mungu pamoja, #For_In_Him_We_Move_Live_and_have_our_being@PriscaWakutumwa
WAWEZAJE KUMLAANI MTU ALIYEBARIKIWA NA MUNGU?
Yesu anakupenda ❤️ Anakupenda hivyo hivyo ulivyo, anakuamini ktk uwezo huohuo ulionao MKUBALI Yesu🫴
UENDE NAMI ni wimbo mzuri mno wa kufungulia mwaka2024 Usiende bila Bwana. @PriscaWakutumwa
NENO Wimbo wenye mguso wa pekee Usiangalie ukubwa wa tatizo MUNGU ni mkuu kulik hilo@PriscaWakutumwa
Prisca Wakutumwa-NAWAOMBEA Wimbo wa shukurani Kwa kila hatua ya maisha.