TAFAKARI TV

TafakariTv ni channel inayojihusisha na maudhui ya injili pekee yake. Ambayo hupostiwa kwa nia na lengo la kujenga imani ya wote ambao wanasikiliza na kuielewa lugha ya kiswahili. Hivyo mahubiri yoyote ambayo ni sahihi kulingana na viwango vya neno la Mungu yanaweza kupostiwa ktk channel hii ili kila awaye yote aweze kijifunza, aelimike na kuupata ujuzi wa Mungu ktk usahihi wake.

Utaifahamu Kweli, na hiyo kweli itakuweka huru
YOHANA 8:32. YOHANA 17:17