Kuna Nini News

Kwenye Channel yetu hii;
Tunakuletea habari mbalimbali:
- Maisha ya vijijini nchini Kongo DR
- Habari za Kijamii;
- Habari za Ki siasa kama vile za vita;
- Mahojiano;
- Matukio ya Kushangaza;
- Mazingira
- Mila;Utamaduni;Sanaa;Michezo na Kadhalika. Madhumuni yetu Nikukupa habari sahihi. Habari zetu nyingi Niku toka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo; lakini pia Eneo mzima la Kanda hata duniani ikiwezekana.
Unaweza wasiliana nasi kwa njia ya WhatsApp kwa Namba +243998298237

English Translation:

On our channel, we bring you various news:
- Rural life in Congo DR
- Social News.
- Political news such as war.
- Interviews.
- Amazing Events.
- Environment
- Traditions; Culture; Arts; Sports and so on...
Our purpose is to give you the right information.
Most of our news will be from the Eastern part of the Democratic Republic of Congo, but also the entire Region even the international news if possible.
You can contact us through WhatsApp at +243998298237