DJ KARIMU MR ANYAMWE

DJ Karimu Mr Anyamwe 🎧
Dj wa singeli na live performances kutoka Mangaka, Mtwara! 🔥
Naleta mdundo wa vigodoro na burudani ya mtaa yenye nguvu ya kweli.
Subscribe upate mzuka wa singeli kila wakati! 💃🏾🎶